Msaada
Majibu ya maswali ya kawaida, na jinsi ya kuwasiliana nasi.
Wafanyabiashara huingia kwenye app kwa Google. Wanunuzi huingia kwenye web kwa namba ya simu na neno la siri. Ukisahau neno la siri la mnunuzi, wasiliana nasi na tulibadilishe.
Tuambie ulikuwa unajaribu kufanya nini na tutakusaidia.